MAZISHI YA JENERALI MAKAME RASHIDI ALIYEKUWA MKUU WA JKT
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana
katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili
wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya JKT jijini.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame
Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es
Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo
Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davies Mwamunyange akitoa
heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali
Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini
Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika
leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Makamanda
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza lenye
mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana
katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili
wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya JKT jijini.
Jeneza likiwekwa sehemu maalum kwa ajili ya heshima za mwisho.
Ndugu wa Marehemu wakiwa ni wenye majonzi na huzuni kubwa ya kuondokewa na Mpendwa wao.
Makamu
wa Rais Dkt. Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkuu wa Majeshi Davis
Mwamunyange.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya
marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika
Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa
marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akitoa mkono wa pole kwa ndugu wa
Marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika
Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa
marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya JKT jijini.
Toka
kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ),Luteni
Jenerali,Samuel Ndomba,Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Said Mwema na
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,Kamishna Jenerali John Minja wakiwa
kwenye msiba wa Marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia
jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa
mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja
vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal akitoa mkono wa pole kwa ndugu wa Marehemu Meja
Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ,
jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame,
zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT
jijini.Picha na OMR.